Ki_Vi nouns.txt

The flashcards below were created by user russandsue1989 on FreezingBlue Flashcards.

 1. Kitu/vitu
  Thing
 2. Kitanda/vi
  Bed
 3. Kikapu/vi
  Basket
 4. Kisu/visu
  Knife
 5. Kitabu/vitabu
  Book
 6. Kikombe/vikombe
  Cup
 7. Chumba/vyumba
  Room
 8. Choo/vyoo
  Bathroom/toilet
 9. Chuo/vyou
  University
 10. Chakula/vyakula
  Food
 11. Kioo/vioo
  Mirror/glass
 12. Kiumbe/viumbe
  Living creature
 13. Kiatu/viatu
  Shoe
 14. Kiboko/viboko
  Hippopotamus
 15. Kifaru/vifaru
  Rhino
 16. Kipofu/vipofu
  Blind person
 17. Kiziwi/viziwi
  Deaf person
 18. Kilema/vilema
  Crippled person
 19. Kijiko/vijiko
  Spoon
 20. Kizibo/vizibo
  Cork
 21. Kiwanda/vi
  Factory
 22. Kiwanja/vi
  Piece of land
 23. Chakula/vyakula
  Food s
 24. Kiti/viti
  Chair s
 25. Chuo/vyuo
  College s
 26. Kioo/vioo
  Mirror s
 27. Kibanda/vibanda
  Hut s
 28. Kidonge/vidonge
  Pill s
 29. Kiazi/viazi
  Potato es
 30. Kilima/vilima
  Hill s
 31. Kikombe/vikombe
  Cup s
 32. Kiatu/viatu
  Shoe s
 33. Kijiji/vijiji
  Village s
 34. Kidonda/vidonda
  Ulceration s
 35. Kisiwa/visiwa
  Island s
 36. Kisima/visima
  Well s
 37. Cheo/vyeo
  Rank s
 38. Cheti/vyeti
  Certificate s
 39. Kiko/ viko
  Pipe s
 40. Kipande/vipande
  Piece s
 41. Chuma/vyuma
  Iron s
 42. Kiberiti/viberiti
  Match es
 43. Kitunguu/vitunguu
  Onion s
 44. Kitambaa/vitambaa
  Piece of cloth
 45. Chama/vyama
  Political party
 46. Kifua/vifua
  • Chest s
  • ( body)
 47. Kiuno/viuno
  Waist s
 48. Kichwa/vichwa
  Head s
 49. Kidole/vidole
  Finger s
 50. Chombo/vyombo
  Container s / utensil s
 51. Chandura/vyandura
  Mosquito net s
 52. Chura /vyura
  Frog s
 53. Kibaba/ vibaba
  Measure s
 54. Kinu/vinu
  Mortar
 55. Kibuyu/vibuyu
  Gourd s
 56. Kifo/vifo
  Death s
 57. Kifuniko/vifuniko
  Cover/lid
 58. Kikoi/kikoi
  Loin cloth
 59. Kipimo/vipimo
  Measure
 60. Kitande/vitande
  Comb s
Author
ID
159703
Card Set
Ki_Vi nouns.txt
Description
KiVi
Updated
Show Answers