Shopping/clothes (English-Swahili)

  1. to buy
    nunua
  2. to sell
    uza
  3. to pay
    lipa
  4. to sew
    shona
  5. to dress/wear
    vaa
  6. expensive
    ghali
  7. price
    bei
  8. some of
    baadhi ya
  9. market
    soko
  10. shop
    duka/maduka
  11. total
    jumla
  12. goods/merchandise
    bidhaa
  13. pile
    fungu/mafungu
  14. comb
    kitana/vitana
  15. sleeve
    mkono/mikono
  16. skirt
    skirti/maskirti
  17. scarf
    mtandayo/mitandayo
  18. hat
    kofia
  19. blouse
    blauzi
  20. dress
    gauni/magauni
  21. bag
    begi/mabegi
  22. shorts
    bukta (sporty), kaptula
  23. flip flop
    kandambili
  24. belt
    mkanda/mikanda
  25. pocket
    mfuko/mifuko
  26. trousers
    suruali
  27. coat
    koti/makoti
  28. shirt
    shati/mashati
  29. necklace
    cheni, mkufu/mikufu
  30. ring
    pete
  31. earrings
    hereni
Author
somersetcat
ID
201384
Card Set
Shopping/clothes (English-Swahili)
Description
words relating to shopping/clothes
Updated