Cooking/Eating (Swahili-English)

  1. kula
    to eat
  2. shiba (stative)
    to be full
  3. kata
    to cut
  4. pika
    to cook
  5. kunywa
    to drink
  6. songa
    to stir (thick/solid)
  7. koroga
    to stir (liquid)
  8. andaa
    to prepare
  9. choma
    to burn/bbq
  10. tosha
    to be enough/sufficient
  11. kahawa
    coffee
  12. pombe
    alcohol
  13. sumu
    poison
  14. njaa
    hunger
  15. kiu
    thirst
  16. mlo/milo
    meal
  17. vinyo
    wine
  18. mpishi (m/wa)
    cook
  19. chakula/vyakula
    food
  20. nyama
    meat
  21. mboga
    vegetables
  22. tunda/matunda
    fruit
  23. ng'ombe
    cow
  24. kuku
    chicken
  25. nguruwe
    pig
  26. mbuzi
    goat
  27. kondoo
    sheep
  28. samaki
    fish
  29. friji
    fridge
  30. jiko/majiko
    cooker/kitchen
  31. kikombe/vikombe
    cup
  32. kijiko/vijiko
    spoon
  33. kisu/visu
    knife
  34. uma
    fork
  35. sahani
    plate
  36. chombo/vyombo
    dish
  37. bakuli
    bowl
  38. chupa/vyupa
    bottle
  39. maziwa
    milk
  40. wali
    cooked rice
  41. kiazi/viazi
    potato
  42. kitunguu/vitunguu
    onion
  43. karanga
    peanuts
  44. mkate/mikate
    bread
  45. mchele/michele
    uncooked rice
  46. maharage
    beans
  47. embe/maembe
    mango
  48. papayi/mapapyi
    papaya
  49. parachichi/maparachichi
    avocado
  50. chungwa/machungwa
    orange
  51. yae/mayae
    egg
  52. tofaa/matofaa
    apple
  53. ndizi
    banana
  54. jibini
    cheese
  55. siagi
    butter
  56. nazi
    coconut
  57. zabibu
    grape/raisin
  58. pipi
    sweets
  59. -tamu
    delicious/sweet
  60. saga
    to crush/grind
  61. mimina
    to pour/sprinkle
  62. chambua
    to sort
  63. pasha
    to warm
  64. funika
    to cover
  65. onja
    to taste
  66. kuna
    to grate/scratch
  67. poza
    to cool
  68. sukuma
    to push/knead
  69. chemka (stative)
    to be boiling
  70. chemsha
    to boil (causative)
  71. oka
    to bake
  72. kaanga
    to fry
  73. katakata
    to chop
  74. paka
    to spread
  75. ongeza
    to add
  76. washa
    to turn on
  77. zima
    to turn off
  78. funua
    to uncover
  79. changanya
    to mix
  80. kamua
    to squeeze
  81. pima
    to measure
  82. sufuria
    pot
  83. mwiko
    wooden spoon
  84. pani
    pan
  85. kikaangio
    frying pan
  86. kinu
    mortar and pestle
  87. kijiko cha chai
    teaspoon
  88. kijiko cha kula
    tablespoon
  89. kijiko cha mchuzi
    big spoon
  90. mchuzi
    sauce/stew
  91. chumvi
    salt
  92. sukari
    sugar
Author
somersetcat
ID
201396
Card Set
Cooking/Eating (Swahili-English)
Description
words related to cooking/eating
Updated