Cooking/Eating (English-Swahili)

  1. to eat
    kula
  2. to be full
    shiba
  3. to cut
    kata
  4. to cook
    pika
  5. to drink
    kunywa
  6. to stir (thick)
    songa
  7. to stir (liquid)
    koroga
  8. to prepare
    andaa
  9. to burn/bbq
    choma
  10. to be enough/sufficient
    tosha
  11. coffee
    kahawa
  12. alcohol
    pombe
  13. poison
    sumu
  14. hunger
    njaa
  15. thirst
    kiu
  16. meal
    mlo/milo
  17. wine
    vinyo
  18. cook
    mpishi
  19. food
    chakula/vyakula
  20. meat
    nyama
  21. vegetable
    mboga
  22. fruit
    tunda/matunda
  23. cow
    ng'ombe
  24. chicken
    kuku
  25. pig
    nguruwe
  26. goat
    mbuzi
  27. sheep
    kondoo
  28. fish
    samaki
  29. fridge
    friji
  30. cooker/kitchen
    jiko/majiko
  31. cup
    kikombe/vikombe
  32. spoon
    kijiko/vijiko
  33. knife
    kisu/visu
  34. fork
    uma
  35. plate
    sahani
  36. dish
    chombo/vyombo
  37. bowl
    bakuli
  38. bottle
    chupa/vyupa
  39. milk
    maziwa
  40. cooked rice
    wali
  41. potato
    kiazi/viazi
  42. onion
    kitunguu/vitunguu
  43. peanuts
    karanga
  44. bread
    mkate/mikate
  45. uncooked rice
    michele
  46. beans
    maharage
  47. mango
    embe/maembe
  48. papaya
    papayi/mapapayi
  49. avocado
    parachichi/maparachichi
  50. orange
    chungwa/machungwa
  51. egg
    yae/mayae
  52. apple
    tofaa/matofaa
  53. banana
    ndizi
  54. cheese
    jibini
  55. butter
    siagi
  56. coconut
    nazi
  57. grape/raisin
    zabibu
  58. sweets
    pipi
  59. delicious/sweet
    -tamu
  60. to crush/grind
    saga
  61. to pour/sprinkle
    mimina
  62. to sort
    chambua
  63. to warm
    pasha
  64. to cover
    funika
  65. to taste
    onja
  66. to grate/scratch
    kuna
  67. to cool
    poza
  68. to push/knead
    sukuma
  69. to be boiling
    chemka
  70. to boil (cause to)
    chemsha
  71. to bake
    oka
  72. to fry
    kaanga
  73. to chop
    katakata
  74. to spread
    paka
  75. to add
    ongeza
  76. to turn on
    washa
  77. to turn off
    zima
  78. to uncover
    funua
  79. to mix
    changanya
  80. to squeeze
    kamua
  81. to measure
    pima
  82. pot
    sufuria
  83. wooden spoon
    mwiko
  84. pan
    pani
  85. frying pan
    kikaangio
  86. mortar and pestle
    kinu
  87. teaspoon
    kijiko cha chai
  88. tablespoon
    kijiko cha kula
  89. big spoon
    kijiko cha mchuzi
  90. sauce/stew
    mchuzi
  91. salt
    chumvi
  92. sugar
    sukari
Author
somersetcat
ID
201400
Card Set
Cooking/Eating (English-Swahili)
Description
words relating to cooking/eating
Updated