Work/Study (English-Swahili

The flashcards below were created by user somersetcat on FreezingBlue Flashcards.

 1. to do
  fanya
 2. to work
  fanya kazi
 3. to teach
  fundisha
 4. to learn
  jifunza
 5. to write
  andika
 6. to forget
  sahau
 7. to read/study
  soma
 8. to try
  jaribu
 9. to translate
  tafsiri
 10. to review/repeat
  rudia
 11. to correct
  sahihisha
 12. to count
  hesabu
 13. to add
  ongeza
 14. to retire
  staafu
 15. to care (for)
  tunza
 16. to remember
  kumbuka
 17. to know
  jua
 18. to think
  fikiri
 19. to understand
  elewa (stative)
 20. to hear
  sikia
 21. to listen
  sikiliza
 22. to explain
  eleza
 23. to tell
  ambia
 24. to ask
  uliza
 25. to permit
  ruhusu
 26. to help
  saidia
 27. to farm
  lima
 28. to fish
  vua samaki
 29. to fix/mend
  tengeneza
 30. to graduate
  hitimu
 31. to instruct
  funzwa
 32. to drill (hole)
  toboa
 33. to be late
  chelewa (stative)
 34. to be early/on time
  wahi (stative)
 35. permission
  ruhusa
 36. expert
  hodani
 37. fluency
  ufahasa
 38. office
  ofisi
 39. business
  biashara
 40. farm
  shamba/mashamba
 41. college
  chuo/vyuo
 42. school
  shule
 43. training
  mafunzo
 44. university
  chuo kikuu
 45. course
  kozi
 46. primary
  msingi
 47. uniform
  sare
 48. holiday
  sikukuu
 49. book
  kitabu/vitabu
 50. tool
  kifaa
 51. total
  jumla
 52. page
  ukurasa
 53. saw
  msumeno/misumeno
 54. agriculture
  kilimo
 55. percent
  asilimia
 56. ladder
  ngazi
 57. capital
  mtaji
 58. exercise
  zoezi/mazoezi
 59. research
  utafiki
 60. wealth
  mali
 61. turn
  zamu
 62. grammar
  sarufi
 63. writing
  andishi
 64. part/section
  sehemu
 65. articles
  makala
 66. fishing
  uvuvi
 67. clever/cunning person
  mjanja
 68. thief
  mwizi
 69. library
  maktaba
 70. teacher
  mwalimu
 71. student
  mwanafunzi
 72. doctor
  daktari/madaktari
 73. driver
  dereva/madereva
 74. farmer
  mkulima
 75. ambassador
  balozi
 76. business people
  wafanya biashara
 77. worker
  fundi/mafundi
 78. president
  rais/marais
 79. bishop
  aaskofu/maaskofu
 80. pastor
  mchungaji
 81. policeman
  polisi/mapolisi
 82. livestock keeper
  wafugaji
 83. cook
  mpishi
 84. workers
  wafanyakazi
 85. director
  mkurugenzi
 86. engineer
  mhandisi
 87. accountant
  mhasibu
 88. barber
  kinyozi
 89. fisherman
  mvuvi
 90. singer
  mwimbaji
 91. artist
  msanii
 92. fighter
  mpiganaji
Author:
somersetcat
ID:
201409
Card Set:
Work/Study (English-Swahili
Updated:
2013-02-18 14:04:54
Tags:
swahili
Folders:

Description:
words related to work/study
Show Answers: