Home
Flashcards
Preview
Health/Body (Swahili-English)
Home
Get App
Take Quiz
Create
pumua
to breathe
tumia
to use
vuja damu
to bleed (lit. leak blood)
sikia maumivu
to be in pain
gusa
to touch
shika
to take hold of
laza
to admit/lay down
chukua
to take
meza
to swallow
pona
to recover
kua
to grow up
umwa
to be ill
tapika
to vomit
kohoa
to cough
washa
to itch
choma
to pierce/stab/inject
anguka
to fall over
funga
to tie up
pima
to test/measure
choo
stool
mkojo
urine
ishi
to live
kufa
to die
zaa
to give birth
zaliwa
to be born
umri
age
maisha
life
afya
health
mwili/miwili
body
mauvimu
pain
mgonjwa
sick person
kizunguzungu
dizzy
dawa
medicine
dalili
symptoms
mafua
cold/flu
makohosi
phlegm
baridi
cold
jotoridi
temperature
sidano
needle
harisha
diarrhoea
tatizo/matatizo
problem
kichefuchefu
nausea
uvimbe
swelling
kidonda/vidonda
scab
kidonge/vidonge
tablet
bandaji
bandage
jeraha/majeraha
injury/wound
mjamzito
pregnant woman
mimba
pregnancy
hospitali
hospital
dharura
emergency
wodini
ward
nene
fat
hatari
danger
uzito
weight
unene
fatness
uembe
razor/blade
mtu mzima
adult
zahanati
clinic
nywele
hair
kichwa
head
jicho/macho
eye
sikio/masikio
ear
nyusi
eyebrows
uso
face
pua
nose
ubongo
brain
ukope
eyelashes/lids
kidevu
chin
mdomo
mouth/lip
koo
throat
masharabu
moustaches
ndevu
beard
sharafa
sideburn
shingo
neck
jino/meno
tooth
moyo
heart/spirit
bega/mabega
shoulder
mgongo
back
kifua
chest
pafu
lung
ngozi
skin
mshipa
vein
mkono/mikono
hand/arm
kigonja/vigonja
palm
kidole/vidole
toe/finger
kidolegumba
big toe/thumb
ukucha
nail
kiwiko
elbow
tumbo/matumbo
tummy
kiuno
waist/hips
tako
bottom
mguu/miguu
leg/foot
paja
thigh
damu
blood
kisingo
heel
mfupa/mifupa
bone
unyayo
sole/footprint
Author
somersetcat
ID
201689
Card Set
Health/Body (Swahili-English)
Description
words relating to health/the body
Updated
2/19/2013, 6:30:01 AM
Show Answers
Home
Flashcards
Preview