Living Language Swahili - Vocabulary

  1. What's your name?
    Jina lako ni nani?
  2. My name is Ali
    Jina langu ni Ali
  3. Your siblings are fine too?
    Ndugu zako pia hawajambo?
  4. They're all fine
    Wote hawajambo
  5. This is my friend, her name is Lela
    Huyu ni rafiki yangu, jina lake ni Lela.
  6. It's nice to meet you Lela.
    Nimefurahi kukuona, Lela.
Author
zimpe9210
ID
209352
Card Set
Living Language Swahili - Vocabulary
Description
De viktigaste orden att träna på i de första kapitlen.
Updated