5A. Vocabulary Warm-Up

The flashcards below were created by user zimpe9210 on FreezingBlue Flashcards.

 1. Baada ya masomo
  after studies/lessons/classes
 2. Bila shaka
  Of course! ("Without doubt!")
 3. Habari za likizo?
  How was the break?
 4. kama unapenda
  if you like
 5. kumaliza masomo
  to finish studies
 6. karatasi ya kuchapishia
  printing paper
 7. kwa likizo
  for break, for vacation
 8. wakati wa likizo
  (during the) time of break
 9. kwa nini?
  why?
 10. kwa sababu
  because
 11. labda
  maybe, perhaps
 12. masomo ya lugha
  language studies
 13. shule ya sekondari
  secondary school
 14. Tungependa kununua...
  We would like to buy...
 15. vifaa vya shule
  school items, school supplies
 16. Ulienda wapi?
  Where did you go?
 17. Ulifanya nini?
  What did you do?
 18. kuwaona wazazi
  to see parents
 19. kwa ajili ya
  for (the purpose of)
Author:
zimpe9210
ID:
212833
Card Set:
5A. Vocabulary Warm-Up
Updated:
2013-04-11 09:09:09
Tags:
5A Vocabulary Warm Up
Folders:

Description:
Vocabulary warm-up from Living Language, Lesson 5.
Show Answers: